KANISA LA WAAMINI WA WITO TANZANIA
Menu
Homepage
NYUMBANI
NEWS
HABARI
ABOUT US
KUHUSU SISI
Contact
MAWASILIANO
KANISA LA WAAMINI WA WITO TANZANIA
INJILI KWA MATAIFA YOTE
K.W.W.T
KANISA LA WAAMINI WA WITO TANZANIA
INJILI KWA MATAIFA YOTE
K.W.W.T
WACHUNGAJI
Ask.Raphael Samwel MOllel
ASKOFU MKUU WA KANISA
Mch.Edward Laizer
KATIBU MKUU WA KANISA
Ask.Msd. Emmanuel Lendita Mollel
ASKOFU MSAIDIZI
Mch. Precense Taftaeli Moshi
MUHASIBU WA KANISA
HISTORIA FUPI
Kanisa la Waamini wa Wito Tanzania Kanisa (KWWT) ni Kanisa la Kiroho linalohubiri Habari njema ya Neno la Mungu kwa watu wote. Linaamini kwa Mungu Baba, Mungu mwana na Roho Mtakatifu. Kanisa la KWWT linapatikana Nchini Tanzania na kwa sasa makao makuu yanapatikana Mkoani Arusha. KWWT limesajiliwa kwa namba S.A 21584.
KUHUSU SISI
PICHA ZA KANISA